ABOUT US

 

ENGLISH

99.3 N.Y.U FM Radio is a Christian Media, Broadcasting to millions of listeners in northern zone of Tanzania. 

 

The objective of 99.3 FM is to equip Christians to strive for Spiritual advancement, achieve physical wellness and gain financial breakthrough, in accordance to the word of the living God. 

 

99.3 FM is a product of the vision of H.E Dr. GeorDavie, the founding President of GeorDavie Ministries Int’l and Senior Pastor Anna Davie.

SWAHILI

 

N.Y.U kirefu chake ni, "Ngurumo Ya Upako" Muanzilishi na Mmiliki wake ni Mheshimiwa, Nabii Mkuu, Dr. GeorDavie na Mchungaji Kiongozi Mama Anna Davie.

Ni redio ya Kikristo inayotangaza kwa mamilioni ya watu kutokea kanda ya kaskazini mwa Tanzania kwa mafasa ya

99.3 MHz na kwa njia ya mtandao ambapo Wasikilizaji wengi  wamethibitisha kubarikiwa na vipindi vyetu mbali mbali.  

http://nyufmradio.blogspot.com

N.Y.U FM RADIO ni "NGUVU INAYOSAFIRI" na ni,

"SUPER BOMBA" 

Fanuel John (aka - Fan J)

(Radio Manager & Presenter)

 

Mtangazaji Mashuhuri wa

99.3  N.Y.U FM katika vipindi vya: 

  • Redio Chuo

  • Congo Beat  n.k.

Fan J (right) on special interview Program with the radio owner (left)

H.E. Dr. GeorDavie

Christina Ndagire

(Program Manager & Radio Presenter) 

Mtangazaji Mashuhuri wa

99.3 N.Y.U FM katina vipindi vya:

  • Jukwaa la Watumishi

  • Wasanii wa East Africa   n.k.

Daniel Mngoma (aka  D'Com)
(Radio Presenter & News Editor)
Mtangazaji Mashuhuri wa
99.3 N.Y.U FM katika vipindi vya:
  • Morning Alarm
  • Jukwaa la Waimbaji  n.k.
Beatrice Maina
(Radio Presenter & News Editor)
Mtangazaji Mashuhuri wa 
99.3 N.Y.U FM katika vipindi vya:
  • Zamu ya Asubuhi
  • Watoto na Elimu  n.k.
Maureen Kwedy
(Radio Presenter)
Mtangazaji Maarufu wa 
99.3 N.Y.U FM katika vipindi vya:
  • SKY Jazz
  • Uthibitisho wa Unabii  n.k.

the legendary 'G.D Love' in

the world of supreme music program

Nabii Mkuu, Mhe. Dr. GeorDavie katika Kipindi Mashuhuri cha

Q&A 'MASWALI NA MAJIBU' Kwa Usahihi zaidi!

(Kulia ni Mtangazaji

Christina Ndagire)

Watangazaji wa 99.3 N.Y.U FM Radio